jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Tuliosikiliza mistari ya Mwenyekiti na kumuelewa tumepata ujumbe wa kishujaa kwa miaka zaidi ya 100 ijayo.
Tumepata fikra mpya yaani kuuendeleza Msingi na muhimili wa Taifa hili ambao ni Ujamaa na Kujitegemea.
Kazi iliyobaki ni kuhuisha ujamaa na kuuboresha kulingana na hali ya dunia ya sasa.Tufanye hivyo bila kufuta utambulisho huu wa Uhuru wetu.
Nawatakia Siku njema katika maadhimisho ya siku ya Uhuru .
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!