Ujamaa umewadumaza waTanzania

Ujamaa umewadumaza waTanzania

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Sijui nani nimlaumu Rais Mao au rais wa kwanza wa Tanzania ila ok sawa nafikiri ni rais kwanza au waTanzania wenyewe ndiyo wamedumaa kutokana na ufinyu wao wa akili au ni unafiki wao wa kiwango cha lami.

Nakiri ujamaa waTanzania wengi umewadumaza mpaka imefikia waTanzania wengi wao shughuli yao ni kupiga mapambio tu si watawala au wapinzani mwendo wa kujigamba tu in order to make a living.

Tumekuwa tunachukia tu namna waTanzania wanavyofikiri au wanavyoishi tu wao wanaishi tu na wanaona jinsi nchi yao inavyoendeahwa ila wao kazi unafiki na halafu wanajikuta hawaoni kutwa kukesha kwenye vibanda vya kahawa kuilaumu serikali kwa kuongea tu not to make action hovyo kabisa.

Wakenya na wanaigeria wapo all over the world ila waTanzania wapo kutwa kupiga mapambio tu hovyo tu.

Nyerere alikosea hii sera that why your country poor forever and ever Tanazania ikiwa kama Kenya au South Africa niiteni mbwa nimekaa paleeeeeeeeee.
 
Back
Top Bottom