snochet
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 1,433
- 1,176
habari ndugu zangu,nina rafiki ambaye yuko very interested na Ujamaa villages na ana mpango wa kufanya PhD dissertation yake kuhusu hili suala,ningependa kufahamu kama bado kuna ujamaa villages/remnants of ujamaa villages ambazo bado zipo.na je zipo kwa kiasi gani,ni vijiji gani na sehemu gani katika nchi yetu?---prefferably katika kanda ya kaskazini....ninaelewa kwamba to some extent Arusha declaration failed,lakini naaamini kuna mahali chembechembe zimebakia,naomba mnisaidie katika hili....it means a lot to me.natanguliza shukrani.