Ujambazi ulianza kurudi. Je, umepotea tena?

Ujambazi ulianza kurudi. Je, umepotea tena?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Alipoingia Rais mama Samia tukasikia matukio ya uhalifu yamerudi kwa kasi..sasa kwa kuwa hatuna takwimu halisi ba nyie ndo jamii mnaonaje huko matukio yameendelea kushamiri au kumetulia
 
Ujambazi haujawahi kwisha na hautakaa uishe maana Tanzania sio Rwanda
 
Kijijini kwetu yamepigwa matukio manne mfululizo, wawili waliovamiwa wanapiga kelele, majirani wanachungulia kwenye madirisha tu, jamaa wakiondoka, majirani wanawahi kutoa pole kwa aliyekutwa na janga. Jana wamepiga tena kwa jirani kabisaa, ndani ya mzingo wa kama nyumba 4 hivi.
 
Wahariri wamepigwa mkwara wasitangaze ujambazi ili zeri asionekane hawezi.

kina sirro wanawapoteza kimya kimya wakikudaka
 
Actually ujambazi au wizi
Una target vitu vitatu vikubwa..
.1pesa

Kama Una pesa ndani unakaribisha majambazi

2.Bodaboda..

3.simu. TV flat..

Hakuna tena majambazi wa kuiba makochi na makabati
 
Actually ujambazi au wizi
Una target vitu vitatu vikubwa..
.1pesa

Kama Una pesa ndani unakaribisha majambazi

2.Bodaboda..

3.simu. TV flat..

Hakuna tena majambazi wa kuiba makochi na makabati
Na kweli, kwa sie tusio na pesa na boda boda vitv vyetu wanavisomba kweli[emoji2297][emoji2297]
 
Kijijini kwetu yamepigwa matukio manne mfululizo, wawili waliovamiwa wanapiga kelele, majirani wanachungulia kwenye madirisha tu, jamaa wakiondoka, majirani wanawahi kutoa pole kwa aliyekutwa na janga. Jana wamepiga tena kwa jirani kabisaa, ndani ya mzingo wa kama nyumba 4 hivi.
Mkoa gani huo
 
Actually ujambazi au wizi
Una target vitu vitatu vikubwa..
.1pesa

Kama Una pesa ndani unakaribisha majambazi

2.Bodaboda..

3.simu. TV flat..

Hakuna tena majambazi wa kuiba makochi na makabati
Nimecheka sana,zamani waliiba kabati?
 
Actually ujambazi au wizi
Una target vitu vitatu vikubwa..
.1pesa

Kama Una pesa ndani unakaribisha majambazi

2.Bodaboda..

3.simu. TV flat..

Hakuna tena majambazi wa kuiba makochi na makabati
Sasa Tv frat kuna ujambazi hapo?.
 
Back
Top Bottom