Umesema vyema sana mkuu.Tufanye yote tusisahau kutenda mema
Aise unawaza mbele. Ila hawawezi kuelewaMaji hata yakiwa ya moto lazima yapoe na huwa haichukui muda mrefu
Ndivyo na kipindi cha ujana ni kifupi sana usipokitumia vizuri utajutia mbeleni
Na wakati huohuo maji ya moto yanaunguza, hivyo ukiutumia vibaya ujana utaumia