jaffery hassan
Member
- Dec 9, 2008
- 77
- 7
naiomba serikali iweke takwimu juu ya idadi ya tembo tunaopoteza kwa njia ya ujangili,kwani wanyama hao idadi inapungua kila kukicha na hatuoni serikali yetu ikichukua hatua yeyote kudhibiti ujangili,kwani hatua wanazochukua ni maneno.au tunasubiri idadi ipungue kabisa ndo tuandae NGOs zakulinda tembo kama SAVE THE TANZANIA ELEPHANT,na majina mengine?au idadi yao ndo ina wapumbaza mkijua kuwa elephants wako wengi?au mnataka ifike kipindi muanze kuwafanyia traslocation kama kenya wanavyofanya na TEMBO wa amboseli?nawasilisha hoja