Ujanja anaoutumia diamond ili awe maarufu sana huu hapa

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Niskuchoshe usinchoshe mie ngoja nikupe data nzima jinsi huyu kijana anavyofanya vitu vyake ili asiishiwe umaarufu

1.Show zake ni unique kwa kutumia dancers mtu huboreki pia show pia jamaa awapo stejini ni makamuzi kwenda mbele

2.Jamaa anapiga pamba kali zenye pesa chafu kitu amabcho kwa watu wanaopenda mambo ya fashion especially matozi hawachoki kumfatilia alichovaa

3.Anajitangaza sana social networks kama vile facebook na instagram, Achaneni na wapuuzi wale wanaompostia kila kitu wakati hata hawajaambia wala hawapi kitu, nadhani mnawajua

4.Anafanya events kubwa sana za kihistoria kwa mfano alizindulia video yake kwa kutoa gari kwa msanii mkongwe hii iligusa mioyo ya watu wengi pale hotel serena hotel ya kifahari pia aligharamia sana tofauti na wasanii wengine

5.Ana mikataba na makampuni makubwa mfano ana deal pale cocacola na vodacom

6.Ana skendo kibaooooooooo hmara wema, mara za mganga hizi skendo wadaku hawaachagi kuzifatilia

toa point yako nawe kama una ya ziada
 
Na 6 toa. Inamfanya achukiwe na watu wenye maadili, MwaMBIE AENDE China akaweke order ya nguo zenye chata DIOMOND suti mpaka za matozi.
 
Jamani si ujanja,that's how diamond is.binafsi am very much inspired with him.keep it up diamond.
 
number 7 anatumia fursa ie yupo kibiashara zaidi mfano song lake number 1 sio kali kivile kama i love you la tajiri wa mahaba ila diamond kazi zake anafanya marketing ya kufa mtu.
 
Niskuchoshe usinchoshe mie ngoja nikupe data nzima jinsi huyu kijana anavyofanya vitu vyake ili asiishiwe umaarufu

1.Show zake ni unique kwa kutumia dancers mtu huboreki pia show pia jamaa awapo stejini ni makamuzi kwenda mbele

2.Jamaa anapiga pamba kali zenye pesa chafu kitu amabcho kwa watu wanaopenda mambo ya fashion especially matozi hawachoki kumfatilia alichovaa

3.Anajitangaza sana social networks kama vile facebook na instagram, Achaneni na wapuuzi wale wanaompostia kila kitu wakati hata hawajaambia wala hawapi kitu, nadhani mnawajua

4.Anafanya events kubwa sana za kihistoria kwa mfano alizindulia video yake kwa kutoa gari kwa msanii mkongwe hii iligusa mioyo ya watu wengi pale hotel serena hotel ya kifahari pia aligharamia sana tofauti na wasanii wengine

5.Ana mikataba na makampuni makubwa mfano ana deal pale cocacola na vodacom

6.Ana skendo kibaooooooooo hmara wema, mara za mganga hizi skendo wadaku hawaachagi kuzifatilia

toa point yako nawe kama una ya ziada

hii hotel iko wapiiii??

niko hapa barabara ya nyerere road nangoja jibu!! teh teh!
 
Mr. Misifa akipita hapa lazima afurahi maana kapata wakum support
 
Back
Top Bottom