UJANJA WA BIBI

UJANJA WA BIBI

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
tulikua kwenye gari kibao ad wengne mlangon likasmimama kituo kimoja kulikua kuna bibi anataka kupanda

Konda- bibi twende sit kibao ata utalala

Bibi - oooh sawa mjukuu

Konda - simama tu apo wanashuka mbele

Bibi - akacheka sana tu

Konda- mbona unacheka bibi

Bibi - mjukuu hawa wote hawashuki wanakufa apo mbele

Watu- simamisha gar

Saiv bibi kabaki mwenyewe amelala sit ya nyuma,,, chezea mjanja wa zamani ww[emoji38][emoji38][emoji28][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom