Ujanja wa Mussa ndo Ushamba Wa Farao

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Habari ndugu zangu.Ni siku kadhaa zimepita tangu manguli wa bongo flava kutoa nyimbo Alikiba~seduce me na Diamond/wcb ~zklipendwa.
Tangu nyimbo zilivyoachiwa seduce me ya King kiba ilikuwa no 1trend in vevo accnt +3mil+ huku zilipendwa ikiwa no 2 trend+2mil.Siku ya jana zilipendwa ilishika nafasi ya kwanza lakini cha ajabu seduce me imerudi katika nafasi yake.Hii inaleta picha gani wadau
Toa maoni yako

great thinker
 
Mpaka mwezi uishe kazi tunayo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
hayo ma views yanamaanisha nini kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…