Ujasiliamali kwenye sekta ya uvuvi

konkudeshu

Member
Joined
Oct 16, 2022
Posts
88
Reaction score
73
Karibu wadau wote kwa alie kuwa na muda tayari wa kuweza kuwekeza kwenye sekta ya uvivu na wakaribisha kigamboni, mjimwema

Kila kitu kuanzia mtumbwi unavo anza kutengenezwa mpaka kukamilika pamoja na wavu aina tofauti na wakaribisha mfike eneo nilipo kwa ajiri ya kujifunza na kuwekeza kama utakuwa tayari +255765755455

 
Unatukaribisha tuwekeze kwenye sector ya uvivu ?? Hapana mm sipo tayari mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…