Ujasiliamali

Benjamin mbilo

New Member
Joined
Sep 15, 2018
Posts
2
Reaction score
3
Naitwa benjamin l. Mbilo

Nimtaalamu wa masuara ya kilimo na mifugo(general in agriculture) kwasasa nnapatikana iringa mji mdogo wa ilula. Kwasasa najishuhurisha na utoaji elimu na ushauli juu ya kilimo,ufugaji vilevile natoa matibabu ya wanyama wanaokuwa na matatizo mbali mbali.

Nafanyakazi mahari popote pale ndani na nje ya mkoa wa iringa.kwamawasiliano zaidi 0744479793 au 0655921003

Agriculture for future
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…