GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kila siku huwa nawaambieni kuwa kwa Mwanaume na Mwanamke makini nchini Tanzania na mwenye ' akili ' sawasawa ambazo zinamtosha kamwe hawezi Kukubali Kuoa / Kuolewa na Wanaume / Wanawake kutoka Mikoa ya Kagera, Singida, Kigoma na Dodoma.
Ndani mwako au hata tu pembeni yako ukiwa tu na Mume / Mke kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) basi Wewe jua tu ya kwamba hapo una ' Maaskari ' kama Watano kwani Mwana Mkoa wa Mara ( Musoma ) yoyote unayemuona au kukutana nae popote pale jua ni sawa sawa na MP 45 na Komandoo 1 kwani Kuzaliwa tu Mwana Mara tayari kunadhihirisha kuwa Wewe ni mwana ' Medani ' uliyetukuka.
Kitendo ambacho amekifanya Mwana Mama Busimba Maregesi kwa Kumuokoa Mumewe Bwana Samson Maregesi ni cha ' Kishujaa ' kabisa na kama huyo Mwanaume angekuwa ameoa Mwanamke wa kutoka Mikoa ya Watu Waoga na GoiGoi ya Kagera, Singida, Kigoma na Dodoma nina uhakika Bwana Maregesi leo hii angekuwa Marehemu ( Historia )
Nitoe sana Rai / Shime kwa Watanzania wote kama kweli unataka kuwa na Mume au Mke Jasiri kabisa katika Ndoa yako usipoteze muda wako bali hapo hapo ulipo sasa mtafute Mwanaume wa kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) au basi ' jitongozeshe ' tu kwake na kama ni Mwanaume basi usipoteze muda wako na mtafute Mwanamke wa kutoka Mkoani Mara kwani hamtojutia kamwe.
Mkitaka ' mabalaa ' na ' nuksi ' nyie Oeni / Oleweni na Watu kutoka Kagera, Singida, Kigoma na Dodoma mtakuja Kujuta na mtakuwa na maisha mabaya na magumu kabisa. Na isitoshe Wanaume na Wanawake wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) wana ' Nyota ' za bahati, baraka na mafanikio hivyo mtakuwa mmeokota ' Dodo ' chini ya Muembe.
Na kama hapo ulipo labda ndiyo ama unapanga Kuoa Mwanamke au Kuolewa na Mwanaume kutoka Mikoa hiyo ya Kagera, Singida, Kigoma na Dodoma nakuomba badilisha upesi na haraka sana hiyo nia yako kwani huko utakuwa umeingia ' cha Kike ' ila sasa tafuta Dume la Mbegu na Mwanamke Shujaa kama Mwanamama Busimba Maregesi ili ukae na amani na uwe pia na uhakika na Usalama wako kama Majambazi au Watekaji watakuja kuwavamieni.
Nawasilisha.