Ujasiri na utata wa mzee wangu ushimen, uta kushangaza

Ujasiri na utata wa mzee wangu ushimen, uta kushangaza

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Salaam wakuu, dah nina andika Uzi wangu huu nikiwa Kijiji Cha wapiga miti.
👉Niko na mzee wangu Ushimen, tuki endelea na mapambano yetu Kama Wana familia

Ila kuna vitu vya mzee wangu huyu, vina Nishangaza na kuni onyesha kuwa huyu ni zaidi ya dikteta au bepari.

Ame binafsisha cheo Cha uwenyekiti kwa lazima,
hapa ndo nilijua huyu mzee wangu ni zaidi ya Adolf Hitler, huwezi amini yeye ni mwenyekiti wa kijiji kwa zaidi ya Miaka 25.
👉Uki jifanya una taka kugombea, lazima akudanganye kwa hekaya za kale, eti cheo ni laana so uwe makini USI laanike.

Ana amini duniani tuna pita hivyo hatutakiwi kujenga,
mpaka Leo na utu uzima wangu.
Nime gundua mzee Ushimen ni zaidi ya jamii ya wahadzabe, tuko tuna ishi porini Huku Kijiji Cha wapiga miti.
👉AME wahi kuchangiwa na kanisa cement na tofali ili ajenge nyumba, aka ishia kuwa kimbiza kwa Panga Wana kanisa.

Ana amini yeye ni maarufu zaidi dare salaam, yaani hapa ndo ana zinguaga kinyama.
👉Yeye kila aki amka Ni ana waza umaarufu wake huko dar.
👉Ana amini Wana daresalaam Wana muwaza na kumu ota kila siku.

Hataki kumalizia mahari ya bimkubwa,
dah dingi huyu ana jiona ye ni jasui kisa Jambo hili, mpaka leo uko wajomba na mashangazi Wana mmaindi kinyama
FB_IMG_16953750894140469.jpg
 
Back
Top Bottom