Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mmeenda kwenu kijijini, eti mkeo hakwenda kuteka maji (kwa taarifa ulizopewa na dada zako)
Hizo nguvu za kumpiga na kumuumiza mke wako kwa maneno ya kusikia unazipata wapi?
Hebu tulijadili kwa akili tulizoambiwa tuishi na wake zetu.