El cholo First Born
Member
- Aug 19, 2019
- 93
- 90
Amini mkuu, mwanamke ambaye umekutana nae kwa mara ya kwanza....Hakujui nawe haumjui.
Lakini unamset na anasetika, mnaenda maeneo ya faragha....Ajabu mnakwichi na analala usingizi mzito wa fofofo kabisa.
Ujasiri huu wanaume hatuna kabisa.
Lakini unamset na anasetika, mnaenda maeneo ya faragha....Ajabu mnakwichi na analala usingizi mzito wa fofofo kabisa.
Ujasiri huu wanaume hatuna kabisa.