Kyindikibisi
Member
- Apr 7, 2018
- 72
- 36
Itabidi uwe na uzalishaji mkubwa wa maziwa ili cost zingine zijimalize...
Hiyo packing kutengenezewa itakuhitaji uchukue chupa kuanzia 25k....
Lkn waweza kupack kwenye chupa kama hvView attachment 985166
Sent using Jamii Forums mobile app
hizi chupa zipo kwenye maduka yanayouza vifungashioChupa kama hizi naweza kupata wapi
mkuu we upo wapi?Maduka ya kuuza vifungashio yanapatikana wapi?
mkuu kwahuko sifahamu maduka ila kwahuku yapo maduka yanayouzampanda
Itabidi uwe na uzalishaji mkubwa wa maziwa ili cost zingine zijimalize...
Hiyo packing kutengenezewa itakuhitaji uchukue chupa kuanzia 25k....
Lkn waweza kupack kwenye chupa kama hvView attachment 985166
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulio Dodoma tukupate maeneo gani. Itapendeza zaidi ukiweka namba ya simuDodoma!
unaweza kunielekeza tu,kama uko dodoma,unasema mtaa gani,duka lipi,kiasi kama hata mtu yuko ujiji anaweza kufunga safari anajua nakwenda sehemu fulani karibu na sehemu fulani kuna duka au maduka ntapata nachohitajimkuu kwahuko sifahamu maduka ila kwahuku yapo maduka yanayouza
mkuu mi nafahamu kariakoo hasa mtaa wa skukuu, ama maduka yaliyopa karibu na shimoni kwa pale kariakoo, pia masoko mengine kama Tandika nayo yanamaduka ya vifungashiounaweza kunielekeza tu,kama uko dodoma,unasema mtaa gani,duka lipi,kiasi kama hata mtu yuko ujiji anaweza kufunga safari anajua nakwenda sehemu fulani karibu na sehemu fulani kuna duka au maduka ntapata nachohitaji
Karibu sanamkuu nashikuru kwa elimu yako maana mwanzo ulinipa changamoto ya kujua zaidi kuhusu hii biashara na kuona fursa
Tz, kenya...Chupa kama hizi naweza kupata wapi
K.koo nankuna viwanda vidogo vinazalisha...Maduka ya kuuza vifungashio yanapatikana wapi?
Namba ya simu mbona ipo kwenye bandiko?Tulio Dodoma tukupate maeneo gani. Itapendeza zaidi ukiweka namba ya simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo serious na hii biashara?unaweza kunielekeza tu,kama uko dodoma,unasema mtaa gani,duka lipi,kiasi kama hata mtu yuko ujiji anaweza kufunga safari anajua nakwenda sehemu fulani karibu na sehemu fulani kuna duka au maduka ntapata nachohitaji
Namba ya simu ipo kwenye bandiko la mada, hivyo yeyotr ambae atahitaji kufanya hii biashara anaweza nitafuta.
Kwa biashara hii kupata faida hakikisha unapata maziwa ghafi (toka kwa mfugaji) bei isizid 1,000 hadi 1200Tzs kwa lita moja.
Ukiwa na uhakika wa kupata maziwa chini ya buku kwa lita basu utalamba faida nono.
Sent using Jamii Forums mobile app