Ujasiriamali tanzania

Sababu wametumia hela nyingi sana kusoma pia kingine ni kuwa. Walijiweka matawi hivyo kuanza kusota kwa kianzio cha chini

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ishu ni kwamba Bado situation ya Maisha haija fikia katika ile point ya No return, Still Tanzania Ukigraduate bao unaweza pata msaaa toka kwa Ndugu,Jamaa na Marafiki, lakini ukichukulia nchi zingine ambapo hata wazazi wanakuwa hawakuelewi tena ni lazima kustragle,

So sometimeEntreprenershipspirit inajengwa kutokana na Hari iliyopo so swala la Graute kwamba hawataki kuanza Biashara na mtaji chini ya Milioni kama liponi lamua tu ilaitafika kipini hata Karanga Zitatembezwa na Graduate, Pipi, kutembeza vitu stend na kubrash viatu, ni swalala kusubiri na kuomba uzima ili tuje kushuhudia hiyo hali,

Ingawa kama una malengo bao kuuza karanga na hata pipi ni moja ya biashara, but sisi tulimaliza vyuo wengi tunaona ni kujidhalilisha, na kazalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…