mchongopesa
Member
- Apr 23, 2019
- 18
- 8
Ntoe idea then mpite nayo
Wewe ni Juma lokole!?Wakuu Leo embu kila mtu aandike aidiaa yake ya biashara moja tu halafu apiteeeee ndukii [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] naamini Kuna mtu tutamkomboaa
Naanza Mimi kutoa mchele mbeya kuuleta dar
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
mkuu umeona fursa, keep it going, nimeikubali kichwa kipo active'Kuanzisha centre ya misiba kwa wasiokuwa na nafasi majumbani kwao' 🚶♂️🚶♂️🚶♂️
'Kuanzisha centre ya misiba kwa wasiokuwa na nafasi majumbani kwao' [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Ntoe idea then mpite nayo
'Kuanzisha centre ya misiba kwa wasiokuwa na nafasi majumbani kwao' [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Kuuza bidhaa za kike kupitia mitandao insta,fb na whatsappWakuu Leo embu kila mtu aandike aidiaa yake ya biashara moja tu halafu apiteeeee ndukii [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] naamini Kuna mtu tutamkomboaa
Naanza Mimi kutoa mchele mbeya kuuleta dar
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
mkuu kule jukwaa la watu wazima hakuna siku ambako hakupendezi na mada zake zinapata wachangiaji wengi sana ila fursa na mada ka hizo huwa hazifurahishi wengi maana zinahitaji kufikirisha akili na wengi hawapendi hilo, mtoa uzi nimemkubali sana maana katoa wazo jipya kabisa kwa hapa nyumbani, alafu wakati mwingine kuchangia ni mpaka mtu awe anajua kitu husika ama awe na moyo wakuto alichonacho so ona ni kawaida na ninyakati tuJukwaa limevamiea jukwaa LA hovyo kuwaikutokea awamu hii ya magufuri enzi ya kikwete jukwaa lilikuwa dhuri lilikuwa na watu makini wanaojierewa jukwaa ukitoa mada au fursa yeyote watu wanaipokea kwa mikono miwili mpaka nami nikashawishika kuwa mwanachama wa jf wadau makini wa enzi ya kikwete walikuwawaerewa nakumbuka ukienda kila jukwaa lilikuwa moto yaani MTU unanunua bando kubwa ili ufurahie lakini sasa jf hakuna jambo wallah jf kuna wadau humu wamekuja kuharibu hii site mkose mvuto ushauri mada zingine tieni pini tu
mkuu kule jukwaa la watu wazima hakuna siku ambako hakupendezi na mada zake zinapata wachangiaji wengi sana ila fursa na mada ka hizo huwa hazifurahishi wengi maana zinahitaji kufikirisha akili na wengi hawapendi hilo, mtoa uzi nimemkubali sana maana katoa wazo jipya kabisa kwa hapa nyumbani, alafu wakati mwingine kuchangia ni mpaka mtu awe anajua kitu husika ama awe na moyo wakuto alichonacho so ona ni kawaida na ninyakati tu
Watanzania wanzaniaa wanapenda kuchangiaa mada za udaku skuizz na za makalioo cjui Ni nani aliyeturogaJukwaa limevamiea jukwaa LA hovyo kuwaikutokea awamu hii ya magufuri enzi ya kikwete jukwaa lilikuwa dhuri lilikuwa na watu makini wanaojierewa jukwaa ukitoa mada au fursa yeyote watu wanaipokea kwa mikono miwili mpaka nami nikashawishika kuwa mwanachama wa jf wadau makini wa enzi ya kikwete walikuwawaerewa nakumbuka ukienda kila jukwaa lilikuwa moto yaani MTU unanunua bando kubwa ili ufurahie lakini sasa jf hakuna jambo wallah jf kuna wadau humu wamekuja kuharibu hii site mkose mvuto ushauri mada zingine tieni pini tu
naamini hivyo wengi tunapenda vile vitu vya umbea mbea mkuu, so twendelee na yetu ila ni muhimu kulazimisha vichwa kufanya ambayo hata hatujisikii mfano kusoma na kufuatilia makala na mada za kututoa ka hiziWatanzania wanzaniaa wanapenda kuchangiaa mada za udaku skuizz na za makalioo cjui Ni nani aliyeturoga
Pia tumekuwa wachoyo Sana wa kushare idea tunaona km tunamfaidishaa mtu Yani wakati ndo lengo la ujasiriamali kusaidiana
Mimi nmetoa huu Uzi huku nikiamini kuwa tunaweza msaidia mtu kupitiaa hizi ideas
Wachangiaji ndo huwa Wana haribu
Nikweli kakaa mi nakumbuka kunasikuu nlikuwa nasoma somaa kwenye group la ujasiriamali nkaona idea nkapita nayo na kweli ilinisaidia Sana xo kusoma piaa Ni muhimu Sana Ila inategemeaa unasoma nininaamini hivyo wengi tunapenda vile vitu vya umbea mbea mkuu, so twendelee na yetu ila ni muhimu kulazimisha vichwa kufanya ambayo hata hatujisikii mfano kusoma na kufuatilia makala na mada za kututoa ka hizi