Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 111
- 223
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mpenda kufatilia makala riwaya na majalida mbalimbali ya kijasusi sijawai hata kupitia mafunzo ya mgambo ila elimu ya ujasusi niliyo nayo huwezi ipata shule nina degree ila sijawai pata elimu ii toka nianze kusoma ila ndo inanisaidia katika maendeleo yangu ya kimaisha mtaani .
Natumia ujasusi wa kiuchumi zaidi na wa saikoloji katika kuongeza kipato ninauza duka lipo kichochoroni na barabarani kuna duka ila katika ujasusi awa ni maadui zangu japo tuna zungumza.
Nime baatika kumsoma baba wa ujasusi duniani santi zuu, akielezea how to kill your enemy without fighting, mwanzo nilikua mauzo ya siku napata elfu kumi ila nika apply mbinu mbalimbali za uzandiki na espionage, kukusanya taatifa na kuzichambua kwa counter intelgence kwa sasa nalala na elfu hamsin kumbuka nipo uchochoroni.
Twende kwenye mbinu sasa kuna wapangaji wapya wamehamia kwa jirani nikamtuma mtoto wa hiyo nyumba kuwaambia kuwa hapa kuna duka na kweli dogo akaenda kuwaambia na walihamia kama watatu na wote wapya wakawa wateja wangu na barabarani unga anauza 1200 mimi nauza buku japo napata kdg ila mzunguko mkubwa, hadi kuna siku moja ya wapangaji akaulizwa alivyoenda barabarani mbona sikuoni siku hizi, na pia kuna mdada mpya nikatumia sychological manipulation alakuwa anataka ndo nimuuze huku akinunua mafuta ya kula nikamuongeza kidogo nikamwambia unaona unaniongelesha hadi nakuzidishia mafuta, sikuyapunguza nikajua huyu lazima atarudi na atakuwa mteja wangu wa kudumu.
Na wengi hawauzi mafuta ya miatatu wanauza kuanzia jero ila mimi napima.
Na ww unaweza kutumia ujasusi wa faida bila kuzuru mtu kujiongezea kipato