Ujauzito kwa Wanafunzi, wahusika wa ujauzito kuchukuliwa hatua

Ujauzito kwa Wanafunzi, wahusika wa ujauzito kuchukuliwa hatua

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
Wanafunzi wajawazito, Shule ya Msingi 1400, Sekondari 7000. Naibu Waziri wa Elimu Bungeni leo. Kati ya hao, waliorudi kuendelea na shule ni wanafunzi 1000 pekee. Mikakati kukomesha mimba. Shule 26 za bweni zitajengwa kwa awamu ili wasichana wasome bweni.

Hostel zitaanzishwa maeneo ambayo wanafunzi wanatembea umbali. Wataohusika na ujauzito kuchukuliwa hatua za kisheria.
 
Ngono ni somo linalofundishwa shuleni indirect kwasasa
Matumizi ya condom
Matumizi ya pedi nk
 
Tatizo ni kiherehere cha wanafunzi wenyewe waliopata mimba, hata ukisema waishi nyumbani uwe unawapelekea walimu nyumbani, viherehere watapata mimba tu.
Kama tatzo lingekua umbali kwenda shule au kusoma za kutwa ndio tatizo basi wanafunzi wote wa kike wangepata mimba, kwa nini wao tu?
 
Masahihisho


“Katika kipindi cha mwaka 2021 na 2022 wanafunzi wa shule za msingi waliopata ujauzito ni 1,554 na katika shule za sekondari ni wanafunzi 7,457.” - Juma Kipanga, Naibu Waziri wa Elimu https://t.co/VPlMCAVGAx
 
Bila shaka hiyo orodha haijumuishi wale wote waliochomoa mimba kimya kimya katika vizahanati na viduka vya dawa baridi mitaani.
 
Back
Top Bottom