korino
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,004
- 666
Polen na majukumu! Nna ujauzito nmeingia mwezi wa 9 sasa ila nna tatizo linanisumbua huwa nikila tu ile asbh tumbo linaniuma kwa hapa juu! Litaniumaaaa km dk 2 hv then litaacha! Karbia kila siku asbh nilapo! Sasa iv likiniuma linanikata na naharisha sometimes! Then haja kubwa inakuwa km ya kijan kijani! Ushaur wenu ni msaada mkubwa kwangu..asanteni