Ujauzito miezi 9

korino

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,004
Reaction score
666
Polen na majukumu! Nna ujauzito nmeingia mwezi wa 9 sasa ila nna tatizo linanisumbua huwa nikila tu ile asbh tumbo linaniuma kwa hapa juu! Litaniumaaaa km dk 2 hv then litaacha! Karbia kila siku asbh nilapo! Sasa iv likiniuma linanikata na naharisha sometimes! Then haja kubwa inakuwa km ya kijan kijani! Ushaur wenu ni msaada mkubwa kwangu..asanteni
 
Pole sana, unatumia folic acid? Kama unatumia inaweza kuwa sababu. Zinakuletea joto la tumbo. Ila tusubiri wataalam waje
 
Yeah natumia

Basi possible ikawa ndo zinakuletea hio problem. Hem km itawezekana ziache kiasi ya siku 3 then angalia itakuaje. Hio ya haja kubwa kuwa na rangi ya kijani uhakika inasabishwa na folic acid
 
Basi possible ikawa ndo zinakuletea hio problem. Hem km itawezekana ziache kiasi ya siku 3 then angalia itakuaje. Hio ya haja kubwa kuwa na rangi ya kijani uhakika inasabishwa na folic acid

Folic acid nlianza kuzinywa tangia ujauzito una miezi 3..lkn saiv nna mwezi sasa natumia fefol ambazo ndo nlipewa na dr.
 
Basi possible ikawa ndo zinakuletea hio problem. Hem km itawezekana ziache kiasi ya siku 3 then angalia itakuaje. Hio ya haja kubwa kuwa na rangi ya kijani uhakika inasabishwa na folic acid

Asante ndugu yangu kwa ushauri wako!
 
Pole. Jaribu kuulizia ushauri zaidi next time ukienda antenatal clinic. Wao ni jukumu lao kukushauri na kukupa dawa/njia mbadala ili usipate madhara wewe pamoja na mtoto. Mungu Atakusaidia utajifungua salama!
 
Asante ndugu yangu kwa ushauri wako!

Usijali dada tuko pamoja. Mie ilinitokea ivo pia nlivokua mjamzito na nilikua natumia folic acid niliziacha na niliporudi clinic nilimwambia Dr akanibishia kuwa sip hizo dawa ziloniumisha tumbo lkn believe me nilipoziacha folic acid ndo ilikua nafuu kwangu. Mi nna tatizo la vidonda pia. Nakushauri pia achana na vyakula vinokutia gesi au vyakula vichachu sn pia sio vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…