Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Mimi nilikuwa na kibarua cha kumchomea mama matesha mahindi.
Alikuwa ananunua mahindi anayaleta home, ananisubiri nimchomee. Nisipoyachoma mimi hali, na nyumbani palikuwa hapakaliki.
Mimba za kwanza noma asee.
Duh hii mimba yako ya ngapi kudaka? Kwanza pole,
Mimba bana huwa zinakuwa zinavituko kuna mke mmoja wa rafiki yangu mimba yake ilikuwa inanipenda kweli kweli mm asipo niona anajisikia upweke na asipo sikia sauti yangu halali alafu ikamchukia kweli kweli mme wake hizi mimba unaweza poteza urafiki bure hivi hivi lakini jamaa alikuwa anaelewa kwa kupewa ushauri na wakubwa.
Kama wewe imependa pilipili basi kazana kula ili ikue na kustawi vizuri, lakini angalia mtoto nae anaweza zaliwa akawa mkali kama pilipili.Lini utajikomboa tuanze kuandaa baby show na nepi?
Ahahahahahahaaaa duuuuh komredi umepinda si utani! Sasa ulidili vipi na hiyo hali? Ulimega au ulilaza damu? Ingekuwa mimi ningemega.....kumega kunarutubisha mimba ya mwanamke. Halafu mashine zao wenye mimba huwaga zina joto joto flani hivi tamu sana aisee.
Pole sana Joy.Jmn habari zenu..ni post ya mda mrefu sn lakn mwenzen hii hali ndo inanikumba saiv. Ni ujauzito wangu wa kwanza lakn unanitesa balaa. Amna kinachopita kwenye koo. Si maji,si tunda wala chakula cha aina yyt ile. Nkila natapika onspot. Nlienda hosp wakanishaur dawa zipo za kuzuia kichefchef lakn sio safe kutumia madawa. Wakanidunga sindano Ila ilinisaidia kwa cku 2 tu,baada ya pale ngoma mtindo mmoja. Kazini mpk nmeomba ruhusa mana naishiwa nguvu balaaa na amna nnachokula kikakaa tumboni.
Naombeni ushauri kwa wenye ujuzi,au uelewa wowote juu ya hii hali.
Asanteni.