Mdogo wangu in mjamzito miezi mitatu, juzi alhamis jion maji yalianzakumtoka na baadae damu tukaenda hospital moja ya karibu waka mpima wakasema mtoto hana maji na njia imefunguka
Je, hapo kuna uwezekano wa mtoto kuishi bila maji?
mtoto hawezi kuishi bila amniotic fluid sababu ndio yanayompa nafas akacheza vizur jaribuni kwenda hospital kubwa zaidi au mlishauriwaje?? na kama njia imefunguka it means unataka kutoka
Njia haitakiwi kufunguka kabla ya muda wa kujifungua… hivyo hiyo ni moja ya dalili hatari kwa mama mjamzito… pia kutokwa na hayo maji maji na damu sehemu za siri wakati wa ujauzito ni dalili ya hatari kwa mama mjamzito……Kwakuwa umeomba ushauri basi ushauri wangu ni MPELEKE HOSPITAL KUBWA AFANYIWE UCHUNGUZI ZAIDI!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.