Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani mnakumbuka kuhusu yule mpenzi wangu wa humu kutokana na hali ya ujauzito nilionao
na swala la kufunga ndoa ,inabidi tupime afya zetu kiukweli naogopa sana jamani nisaidieni naona furaha yangu inapotea ghafla
vipimo gani nijipime mwenywewe?kwanza ukiwa mja mzito lazima upime vvu na wewe ulishasema kuwa una ujauzito...na hii ni compasory.....halafu naona huu ujauzito(kama kweli unao) naona kama ulikuwa umepania kweli na umri umekutupa nini maana kila siku thread zako mara jukwaa la doctor mara huku haziishi!!!!
Kupima ni muhimu lakini pia siku hizi kuna vipimo waweza kujipa mwenyewe....
kipimo chenyewe kinaitwa "DETERMINE"vipimo gani nijipime mwenywewe?
jamani mnakumbuka kuhusu yule mpenzi wangu wa humu kutokana na hali ya ujauzito nilionao
na swala la kufunga ndoa ,inabidi tupime afya zetu kiukweli naogopa sana jamani nisaidieni naona furaha yangu inapotea ghafla
Siku hizi haina ujanja ni kupima tu.jamani mnakumbuka kuhusu yule mpenzi wangu wa humu kutokana na hali ya ujauzito nilionao
na swala la kufunga ndoa ,inabidi tupime afya zetu kiukweli naogopa sana jamani nisaidieni naona furaha yangu inapotea ghafla