jamani mnakumbuka kuhusu yule mpenzi wangu wa humu kutokana na hali ya ujauzito nilionao
na swala la kufunga ndoa ,inabidi tupime afya zetu kiukweli naogopa sana jamani nisaidieni naona furaha yangu inapotea ghafla
Shosti ivi ulimuamini sana huyo bwana au alikueleza nini mpaka ukampa bila kinga? au mlisha pima kabla yakuingia kwenye uwanja wa nipe yote usinibanie? haya chamsingi nenda ukajiangali mama lakini usijali sana tarajia majibu mazuri...
hata ungemtaftia chooni! ishu ya kupima ni tofauti na ulikompatia!!ma jerry njoo kwanza nikupime uwe na majibu tayari ili siku ya kupima usiogope!!Pole dada,umetafuta bwana mtandaoni?,ndo madhara yake hayo.Kapime tu.
jf is never boring....lol
Yaan huyu mdada mpaka ajifungue tutakoma humu ndani, alianza nimepata mume jf, akaja na ujauzito wa jf, sasa amekuja na kupima ujauzito wa jf!...cha kushangaza huyo mumewe yupo kimyaaa, anashindwa hata kumshauri mpenzi akapime, hivi kwa dunia ya sasa mtu ushakuwa na ujauzito afu unaogopa kwenda kupima??? Ni akili kweli jamani...wanashaurianaga nini sasa na huyo mume mtarajiwa jamani?...huyu ma jerry mie ananiachaga hoi sana!..akapime bana wakati anapata raha hakukumbuka kama kuna ukimwi?we mdada wakati mna doo na JF mwenzio kumbe hakumpima na mkaamua kufanya ngono isiyo salama.
Kaza moyo konde mama Pima na jitambue hakuna njia nyingine zaidi ya hapo..
Yaan huyu mdada mpaka ajifungue tutakoma humu ndani, alianza nimepata mume jf, akaja na ujauzito wa jf, sasa amekuja na kupima ujauzito wa jf!...cha kushangaza huyo mumewe yupo kimyaaa, anashindwa hata kumshauri mpenzi akapime, hivi kwa dunia ya sasa mtu ushakuwa na ujauzito afu unaogopa kwenda kupima??? Ni akili kweli jamani...wanashaurianaga nini sasa na huyo mume mtarajiwa jamani?...huyu ma jerry mie ananiachaga hoi sana!..akapime bana wakati anapata raha hakukumbuka kama kuna ukimwi?
teh teh teh!!! langu cheko tu lol!! hii ndio JF
Ukishajikuta umesahau, uwe na ujasiri wa kwenda kupima....[/COLOR]Jamani huwa tunasahaugi...
Ukishajikuta umesahau, uwe na ujasiri wa kwenda kupima....
Kwa hiyo hapa tunajadili mimba au HIV?