Ujauzito wa mke wangu umekuwa kero.

Ujauzito wa mke wangu umekuwa kero.

kitokololoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
704
Reaction score
818
Mda si mrefu mtapata aka anko wana jf lakini kabla sijaoa nilikuwa nasikia mwanamke akiwa mjamzito huwa anamchukia sana mwanamume aliyempa mimba inafika kipindi hataki ata kumuona.


Lakini huyu wangu ananishangaza kwanza mda wote hataki nitoke kabisa ndani anataka tushinde wote nyumbani nishike shike tumbo lake tu.

Kibaya zaidi yani inafikia hatua hataki ata asubuhi niamke niende kwenye mishemishe zangu za maisha yani kama nimechoka nikitega alarm asubuhi iniamshe yeye usiku anazima kabisa simu yangu na kutoa betri kabisa hataki niondoke.

Kiukweli hii imekuwa kero kwangu yani ili niondoke nyumbani lazima nivizie labda awe amelala au anaoga yani imekuwa kero..

Huyu sasa mimi nimfanye?
 
Hata kama angekuwa nauo ni either akuchukie au akupende. Na dada mmoja ni msomi hapa jiran yuko tra na ni mjamzito wa miezi sita sasa.... hatak hata kumuona bwana wake.
Unadhani ni wao wanapenda
Ndio madhara ya kuoa mwanamke jobless!!!
 
Back
Top Bottom