Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,164
- 1,293
shikrani ndugu ntazingatiaAisee hiyo ya maji sidhani kama inaukweli. Wengine tumekunywa maji ya baridi hadi dakika ya mwisho hayakuketa madhara.....
Kikubwa ale vizuri balanced diet asiache vidonge vya wajawazito na mazoezi muhimu
kwanini mkuu hebu fafanuamtoto hapo akizaliwa inakuwa raha sana
kwamba mtoto akiwa ndio wakwanza kuzaliwa wazaz wanafurah sanakwanini mkuu hebu fafanua