Ujauzito wa wiki tatu,

Ujauzito wa wiki tatu,

super cup

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
212
Reaction score
91
Naombeni msaada wenu,nina ujauzito wa wiki tatu lakini tumbo linaniuma mara kwa mara,je inaweza ikawa ni nini? Na je nifanyeje?
 
Hongera kwa ujauzito na pole kwa maumivu! usikae na maumivu usiyojua chanzo chake nenda kamuone Dr. wa akina mama haraka
 
Back
Top Bottom