Ujauzito

Mputi

Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
52
Reaction score
7
Wana JF naomba mchango wenu, inawezekana kwa mwanamke kugundua kama ni mjamzito baada ya siku 3 ya kufanya SEX? if YES ni Dalili gani izo!
 
haiwezekani hata kidogo
 
no....baada ya siku 3 huwezi jua....unabambikwa mimba hapo mkuu....kimbia
<br />
<br />
Hahahaa. Hata ivo ngum sana kukimbia mimba, hasa kama k2 ulikula.
 
Siku tatu ni mapema mno. Kama ulifanya juzi na jamaa alikamulia zote ndani basi subiri kidogo ukacheki mkojo. Kama kweli umeanza kuona dalili basi jamaa aliyekupitia anaweza kuwa ni ukoo wetu yaani 'dumelambegu' maana tukigusa tu huwa inakuwa mchezo kwisha.
 
Wana JF naomba mchango wenu, inawezekana kwa mwanamke kugundua kama ni mjamzito baada ya siku 3 ya kufanya SEX? if YES ni Dalili gani izo!

Sikuhizi kuna chombo cha kupima nyumbani kinaitwa urine pregnant test (UPT), kama umeshakula inabidi uvumilie atleast kama siku 10 hivi ndiyo uanze kupima mkojo
 
wanawake wengi hasa wenye kufanya mapenzi na wanaume tofauti kwa vipindi hawajui baba halisi pale wapatapo mimba hakuna mabadiliko ya awali tofauti na kukatika kwa hedhi so huyo anajish2kia ama ilikuwa danger days
 
kitaalam ni after 14 days hvi inakuwa uhakika...................huh
 
kama angesema anahisi amepata mimba baada ya hilo tendo hapo sawa bt kama anakuhakikishia amegundua anayo tayari three days after...no big no....
 
Wana JF naomba mchango wenu, inawezekana kwa mwanamke kugundua kama ni mjamzito baada ya siku 3 ya kufanya SEX? if YES ni Dalili gani izo!


Dalili za kubambikiwa...
Dalili za kuibiwa...
Dalili kua hata msemaji muongo..
Dalili za tosha kua Kimbia...
 
Kama unaona unauziwa mbuzi kwnye gunia ...... kuna dawa y kuichomoa ndani y cku 7.
 
siku 3 haiwezekani isijekawa anataka kukubambikizia.........kuwa mwangalifu mkuu
 
What???three days...!!!nooooooooo no at all hakuna mimba!toka nduki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…