Ujazaji fomu ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu 2014!

Ujazaji fomu ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu 2014!

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
618
Reaction score
280
Salam, naomba kujuzwa namna ya kufanya editing kwa fomu iliyokamilika, nimeshindwa kuedit baadhi ya taarifa
 
maliza hadi mwisho ndipo utapata nafasi ya kurudia taarifa muhimu.
Nb. Kuwa makini usikurupuke , hizo ni data ambazo mfumo wa computer inazitumia kujua kama unakopesheka au lah.
 
Back
Top Bottom