MAKOLE JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 618 Reaction score 280 May 3, 2014 #1 Salam, naomba kujuzwa namna ya kufanya editing kwa fomu iliyokamilika, nimeshindwa kuedit baadhi ya taarifa
Salam, naomba kujuzwa namna ya kufanya editing kwa fomu iliyokamilika, nimeshindwa kuedit baadhi ya taarifa
beneli Member Joined May 1, 2013 Posts 86 Reaction score 7 May 5, 2014 #2 maliza hadi mwisho ndipo utapata nafasi ya kurudia taarifa muhimu. Nb. Kuwa makini usikurupuke , hizo ni data ambazo mfumo wa computer inazitumia kujua kama unakopesheka au lah.
maliza hadi mwisho ndipo utapata nafasi ya kurudia taarifa muhimu. Nb. Kuwa makini usikurupuke , hizo ni data ambazo mfumo wa computer inazitumia kujua kama unakopesheka au lah.