Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninachojua watu wataanza kukatwa mapema sana kwasababu ya ujinga wao.Naunga mkono hoja
Siraha huundwa wkati wa amani ili itumike wakati wa vita, hata wewe unaweza kukatwa usipoelekezwa sasaAkina Nani wataanza kukatwa mapema sababu ya ujinga wao? Wataje ili hao wajinga wasipewe fomu watapoteza muda tuu wakati ambao siyo wajinga wapo.
Sir name ndo nini!??Ninachojua watu wataanza kukatwa mapema sana kwasababu ya ujinga wao.
Mfano
Sir name
Jina la ukoo
Middle name
Jina la kati
Name
Jina.
Unaitwa
Haruna mtiania mwakipilipili
Sir name
mwakipilipili
Middle name
Mtiania
Name
Haruna
Kuweni makini tunawakumbusha
Sio kila jambo mtakuwa mmeonewa ila utakuwa ujinga wenu