Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Sasa hivi tunaona kuna ujenzi Bagamoyo Road, kipande cha Mwenge-Tegeta.
Kama mwananchi nilikaa kipande hii muda mrefu napenda kuwatonya TANROADS kuwa MAKOSA YALE YALE ya kitaalam yanafanyika.
Barabara hii iliwekewa mitaro ya maji ya mvua midogo sana sehemu hizi:
-sehemu za maingiliano ya barabara za Bagamoyo na Salasala kuna kuwa mafuriko makubwa wakati wa mvua
-hapo sehemu za kiwanda cha Raffia
-sehemu ya Art Gallery
-sehemu ya maingiliano ya barabara za Bagamoyo na ile toka Goba
Sehemu zote nilizotaja maji ni mengi mno toka miinuko ya Goba na Salasala, hivyo mitaro kuzidiwa maji ya mvua.
Sioni juhudi zozote kutatua tatizoo hilo katika ujenzi uliopo.
Au TANROADS wana subiri kuifumua tena barabara baada ya miaka miwili?