Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
HUYU ENGINEER BALAAA
I have seen this thread before not too long ago
ohhh!! Basi ilinipita pembeni hiyo!
Mkuu umeiangalia vizuri lakini hiyo ngazi?hizo ni ngazi za dharula, in case kama kuna moto ama kitu chochote na watu wakashindwa kutumia lift ama ngazi za ndani bsi hizo ngazi hutumika
Mkuu umeiangalia vizuri lakini hiyo ngazi?
Jamani hebu oneni hii nyumba... sielewi hizo ngazi ni kwa ajili gani! mhhh kweli tuna wajenzi bongo!!
View attachment 21434
naona ameiangalia kwa wasiwasi
Hizo ni kwa ajili ya vibaka/wezi
Hata vibaka nao hawawezi kuzitumia!!
hizo ni ngazi za dharula, in case kama kuna moto ama kitu chochote na watu wakashindwa kutumia lift ama ngazi za ndani bsi hizo ngazi hutumika