Ujenzi Bongo

Keren_Happuch

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
1,874
Reaction score
935
Jamani hebu oneni hii nyumba... sielewi hizo ngazi ni kwa ajili gani! mhhh kweli tuna wajenzi bongo!!
 
hata urembo ni sababu ya kuwepo,waache wajenzi wajenge ..........wasafiri wasafiri..................washangaao washangae..... HAYO NDIO MAISHA
 
I have seen this thread before not too long ago
 
hizo ni ngazi za dharula, in case kama kuna moto ama kitu chochote na watu wakashindwa kutumia lift ama ngazi za ndani bsi hizo ngazi hutumika
 
hizo ni ngazi za dharula, in case kama kuna moto ama kitu chochote na watu wakashindwa kutumia lift ama ngazi za ndani bsi hizo ngazi hutumika
Mkuu umeiangalia vizuri lakini hiyo ngazi?
 
ever seen this, guess only happen in Africa, uchakachaji unaendelea
 
je umeziona ngazi zinazotokea chini? zinaelekea wapi? ukiweza kunijibu hapo basi nitakukubali
hizo ni ngazi za dharula, in case kama kuna moto ama kitu chochote na watu wakashindwa kutumia lift ama ngazi za ndani bsi hizo ngazi hutumika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…