Prisylexa New Member Joined Nov 13, 2020 Posts 2 Reaction score 2 Aug 29, 2023 #1 Habarini, Jamani nina kiwanja changu Chalinze na nataka nianze ujenzi. Wenye uzoefu ujenzi wa huko ukoje na upatikanaji wa material pia ukoje?
Habarini, Jamani nina kiwanja changu Chalinze na nataka nianze ujenzi. Wenye uzoefu ujenzi wa huko ukoje na upatikanaji wa material pia ukoje?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Aug 29, 2023 #2 Material yanapatikana bila shida hasa mchanga, kokoto na mawe.. Vingine zipo hardware za kutosha