Mimi naomba mainjinia watuambie Siri ya style hii ya ujenzi ni nini? Wanatibua hapa wanaacha wanaenda mbele kidogo wanatibua wanahamia upande wa pili! Haiwezekani kujenga upande mmoja au kujenga barabara ya zege ya brt Kwanza?Mimi nikwambie Bwana bontaboy
Hii mada uliofungua ni nzuri sana
Miradi mingi Dar es salaam iko hivi sijajua mikoa mingine, miradi inawekwa magap gap na sioni kama kuna ulazima huo. Lakini hata nashindwa kuelewa ni kwanini
Mradi wa BRT mbagala ni mfano mzuri wanaruka ruka ujenzi
Mradi wa barabara hii ya karume kwenda magomeni nao ni hivyo hivyo. nk
Nadhani tujadiri tupeane majibu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini mkuu ukiwa kama unaenda kingongo ukicheck kama unaenda mbezi unaona jinsi mapipa yalivyopendezesha barabara yangefungwa zile right utafikiri tumekaribia krismassKimara nako mapipa mengi barabarani !!! Hawayatoi sijui kwa nn!!!
Labda wanasubiri kulipwa ndiyo wayatoe??Kimara nako mapipa mengi barabarani !!! Hawayatoi sijui kwa nn!!!
Namna ya kushikilia kazi. Hawawezi kumwambia mkandarasi, nusu ya huku ambako hata hujapaanza tutampa tenda mwingine amalizie 😉Mimi naomba mainjinia watuambie Siri ya style hii ya ujenzi ni nini? Wanatibua hapa wanaacha wanaenda mbele kidogo wanatibua wanahamia upande wa pili! Haiwezekani kujenga upande mmoja au kujenga barabara ya zege ya brt Kwanza?
Watu wengi hawajui ni namna gani mkandarasi anapenda hiyo paragraph ya mwisho, wanafikiri watu wapo site kuuza sura.Namna ya kushikilia kazi. Hawawezi kumwambia mkandarasi, nusu ya huku ambako hata hujapaanza tutampa tenda mwingine amalizie 😉
Kihandisi, kuna kitu kinaitwa settlement. Baadhi ya vitu huhitajika kufanyika mapema na kuviacha kama vilivyo ili kuruhusu consolidation/settlement/curing. Wakati huohuo wa kusubiri unaendelea na kazi kipande kingine.
Kumbuka, kazi hizi ni za gharama kubwa. Bila shaka utaalam wa usimamizi wa miradi hutumika pia. Mbinu kama vile Critical Path kwenye Flow Diagram huamua ni kazi zipi muhimu kuanzwa, na kwa mfuatano upi.
Amini usiamini, hata mkandarasi anataka kazi iishe haraka, avute mpunga, aende zake.
Sasa kidogo nimeelewa. Nilikuwa nahisi lazima kuna sababu ya kiufundi.Namna ya kushikilia kazi. Hawawezi kumwambia mkandarasi, nusu ya huku ambako hata hujapaanza tutampa tenda mwingine amalizie 😉
Kihandisi, kuna kitu kinaitwa settlement. Baadhi ya vitu huhitajika kufanyika mapema na kuviacha kama vilivyo ili kuruhusu consolidation/settlement/curing. Wakati huohuo wa kusubiri unaendelea na kazi kipande kingine.
Kumbuka, kazi hizi ni za gharama kubwa. Bila shaka utaalam wa usimamizi wa miradi hutumika pia. Mbinu kama vile Critical Path kwenye Flow Diagram huamua ni kazi zipi muhimu kuanzwa, na kwa mfuatano upi.
Amini usiamini, hata mkandarasi anataka kazi iishe haraka, avute mpunga, aende zake.
KaribuSasa kidogo nimeelewa. Nilikuwa nahisi lazima kuna sababu ya kiufundi.
Ni shida kubwa ya Waliowapa hizo tender... Yaani hadi inafikia wakati unachukia hayo madaraja... And then utasikia ni wasomi Mainjinia... Wanadharaulisha sana elimu ya Tanzania... Unakuta wamebomoa huku wakaacha miezi hadi miwili hawajagusa tena... why !