Ujenzi gani unaendelea Buguruni?

Ujenzi gani unaendelea Buguruni?

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Wadau tujuazane kuhusu ujenzi unaindelea pale buguruni, hizi nchi zetu za hovyo sana kazi inaendelea na hamna taarifa yoyote kwa wananchi.

Kila siku napita pale nione hata bango linaloelezea nini kinaendelea lakini wapi.
 
Mwendokasi hio ndugu. Kipande cha Mandela na Uhuru Rd.
 
Back
Top Bottom