Kwangunyumbani
Member
- Mar 15, 2021
- 6
- 8
Ukishafika KKOO?
Sio kariakooUkishafika KKOO?
Nilidhania hii forum inachukulia maanani hoja na kutoa mawazo yenye umaana na ujuzi. Kuchekana na kuleteana dharau sikutegemea humu ndani. Eneo nnalozungumzia sio kariakoo, ni residential area ambayo siku hizi imepewa ubiashara kidogo. Kama hauna jibu ya swali langu, naomba usijaze hapa. Mawakili au engineers ndo watakuwa na majibu yangu. Kwa kifupi, wasomi.Ha ha ha kariakoo angegombana na majirani zake wa pande zote
umesema kuna fance sasa shida nini ..Nina shida na jirani anajenga gorofa la sakafu 6, pamoja na underground parking.
Shida kubwa ni kwamba, hajafuata mwongozo wa kuacha nafasi ya kutosha kati ya jengo lake na ukuta unaotutenganisha.
Hii sheria inatokea wapi?
Ningependa kuwa na uhakiki wa reference kama kuna member anafahamu. Pia ningependa kujua kama jirani ninaweza kuuliza mwonekano wa jengo.
Ili nifahamu kama baraza zinatazamia upande wangu.
Mimi nazani badara ya kuanzisha mgogoro nae ni vizuri ukimsapoti maana kila ghrofa linalojengwa mtaani uongeza thamani ya nyumba za mtaani ..support maendeleo mzeeNilidhania hii forum inachukulia maanani hoja na kutoa mawazo yenye umaana na ujuzi. Kuchekana na kuleteana dharau sikutegemea humu ndani. Eneo nnalozungumzia sio kariakoo, ni residential area ambayo siku hizi imepewa ubiashara kidogo. Kama hauna jibu ya swali langu, naomba usijaze hapa. Mawakili au engineers ndo watakuwa na majibu yangu. Kwa kifupi, wasomi.
Asante kwa wazo lako. Huyu ni mchina, haitaji sapoti na wala hajitokezi kujumuika kijamii. Ningependa kufahamu na kuelewa kisheria hapa Tanzania tuna rights gani kama jirani anajenga ovyo?umesema kuna fance sasa shida nini ..
Mimi nazani badara ya kuanzisha mgogoro nae ni vizuri ukimsapoti maana kila ghrofa linalojengwa mtaani uongeza thamani ya nyumba za mtaani ..support maendeleo mzee
Anajenga Floor Ngapi?Nilidhania hii forum inachukulia maanani hoja na kutoa mawazo yenye umaana na ujuzi. Kuchekana na kuleteana dharau sikutegemea humu ndani. Eneo nnalozungumzia sio kariakoo, ni residential area ambayo siku hizi imepewa ubiashara kidogo. Kama hauna jibu ya swali langu, naomba usijaze hapa. Mawakili au engineers ndo watakuwa na majibu yangu. Kwa kifupi, wasomi.
SitaAnajenga Floor Ngapi?
Kama ana kibali cha ujenzi na ramani ina maana amezingatia vigezo ila iwapo una concern yoyte ila unaweza kwenda halmashauri ila zingatia ujirani mwema kwani unapoenda utakuwa umenzisha ugomvi binafsi.Ushauri wangu kama hajaingia kwenye eneo lako nafikiri utakuwa unasumbuana naye bure.Hilo eneo linaloachwa huachwa iwapo hamjaweka uzio kama anaweza uzio anaweka kwenye mpaka wenu.Sita
Naona wivu ushakuvamiaNina shida na jirani anajenga gorofa la sakafu 6, pamoja na underground parking.
Shida kubwa ni kwamba, hajafuata mwongozo wa kuacha nafasi ya kutosha kati ya jengo lake na ukuta unaotutenganisha.
Hii sheria inatokea wapi?
Ningependa kuwa na uhakiki wa reference kama kuna member anafahamu. Pia ningependa kujua kama jirani ninaweza kuuliza mwonekano wa jengo.
Ili nifahamu kama baraza zinatazamia upande wangu.
Shida ya hii forum ni kwamba imejaa millenials na generation z wengi mno, labda hapo baadae watu wazima wengine humu ndani wenye mwelewano wa protocols na sheria za hapa na pale watapata nafasi ya kunipa mawazo yenye maana, kwa sasa nisitegemee hii forum ni utani tu naona. Inasikitika kuwa mpaka leo hii, 2022, na visomi vyote nchini, bado haiwezekani mtu kuelewa kuwa, kila mtu ana haki yake hapa nchini. Lakini naona watu humu ndani wataendelea tu na walipo, wakifikiri maendeleo yanajiotea yenyewe mitini. Safirini muone nchi zilizoendelea muelewe kwanini zinaendelea. Sio kutulia wakati unamwagiwa mchanga machoni, kisa usionekane una wivu. Kama huna jibu sio lazma uandike katika kila hoja. Jijue limits zako ujifunze kutokuandika andika hoja zisizojibu swali. Naona watu wanamda kweli!Naona wivu ushakuvamia
Anakuchungulia kwa chini.....
Wivu hua unazua vita kubwa sana!
Good luck manigga!
Kama kajenga gorofa sita,wewe jenga saba basi!Shida ya hii forum ni kwamba imejaa millenials na generation z wengi mno, labda hapo baadae watu wazima wengine humu ndani wenye mwelewano wa protocols na sheria za hapa na pale watapata nafasi ya kunipa mawazo yenye maana, kwa sasa nisitegemee hii forum ni utani tu naona. Inasikitika kuwa mpaka leo hii, 2022, na visomi vyote nchini, bado haiwezekani mtu kuelewa kuwa, kila mtu ana haki yake hapa nchini. Lakini naona watu humu ndani wataendelea tu na walipo, wakifikiri maendeleo yanajiotea yenyewe mitini. Safirini muone nchi zilizoendelea muelewe kwanini zinaendelea. Sio kutulia wakati unamwagiwa mchanga machoni, kisa usionekane una wivu. Kama huna jibu sio lazma uandike katika kila hoja. Jijue limits zako ujifunze kutokuandika andika hoja zisizojibu swali. Naona watu wanamda kweli!
Anakufanyia jeuri kwa sababu ya tuhelaNina shida na jirani anajenga gorofa la sakafu 6, pamoja na underground parking.
Shida kubwa ni kwamba, hajafuata mwongozo wa kuacha nafasi ya kutosha kati ya jengo lake na ukuta unaotutenganisha. Hii sheria inatokea wapi?
Ningependa kuwa na uhakiki wa reference kama kuna member anafahamu. Pia ningependa kujua kama jirani ninaweza kuuliza mwonekano wa jengo.
Ili nifahamu kama baraza zinatazamia upande wangu.
Kibali ni swala moja na kufuata utaratibu wa Ujenzi ni jambo tofautiKama ana kibali cha ujenzi na ramani ina maana amezingatia vigezo ila iwapo una concern yoyte ila unaweza kwenda halmashauri ila zingatia ujirani mwema kwani unapoenda utakuwa umenzisha ugomvi binafsi.Ushauri wangu kama hajaingia kwenye eneo lako nafikiri utakuwa unasumbuana naye bure.Hilo eneo linaloachwa huachwa iwapo hamjaweka uzio kama anaweza uzio anaweka kwenye mpaka wenu.