Ujenzi huu utanigharimu Tshs ngapi?


Sawa sawa!! Nimependa hapo mwisho
 

Kuna vyoo vipya siku hizi vya CULVERTs au pipa la maji unatoboa pande zote ni bei rahisi na vinakaa hadi miaka 10 bila kunyonya
Mimi nimejuta kutojua hii system

Kitu kingine lintel usipige mzunguko wa nyumba nzima
Piga tu katika milango na madirisha utaokoa gharama kubwa sana

Endelea na ujenzi
 
Hio ni nyumba unajenga sio choo,eti lenter ni kwenye madirisha tuu?![emoji45][emoji20][emoji30][emoji30][emoji30][emoji20]
 
Hio ni nyumba unajenga sio choo,eti lenter ni kwenye madirisha tuu?![emoji45][emoji20][emoji30][emoji30][emoji30][emoji20]

Unajua hata maana ya LINTEL?? Unajua hata kwanini tunaweka LINTEL ??
Unajua hata Building code tunatumia ??

Wabongo mnaujuaji na kukaririshwa vitu hamjui hata kwanini vinafanywa
 
Unajua hata maana ya LINTEL?? Unajua hata kwanini tunaweka LINTEL ??
Unajua hata Building code tunatumia ??

Wabongo mnaujuaji na kukaririshwa vitu hamjui hata kwanini vinafanywa
Peleka usefenge wako huko,kwahiyo lenta kwenye nyumba haina maana?,hio elimu yenyewe unayojivunia ni ya kukaririshwa[emoji57][emoji706]
 
Hapo kwenye linter usiongopee watu inategemea na aina ya erdhi
 
Hapa ndipo confusion inapo anzia! Juzi nimeongea na kampuni moja ya REAL ESTATE (baada ya kusikia tangazo lao redioni) wanauza nyumba ya vyumba viwili, jiko, choo na sebule ikiwa huko Mwasonga kwa Shilingi 5.5 Milioni! Hii imekaaje wataalamu wangu wa JF!?
 
Umekopa vikoba mil1 unakuja kututambia huku JF wakati choo changu chenyewe kina thamani ya 20ml

Watu type yako ni kizazi cha fesibuku,, hamna mnaojua zaidi ya Majigambo tu,, Choo chako kinahusiana vipi na jambo tunaojadili hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…