KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Wewe asili yako ni uchafu ndo maana unauliza swali la mtu aliyekatwa kichwa! Huwa naudhika sana na mafundi wasiozingatia usafi kwenye kazi!
Mkuu,
Kama fundi huyo alivyokujibu,kawaida ni kwamba lazima ceiling joists zianze ndipo plaster ipigwe.
Hii ni kwa sababu pamoja na kwamba ceiling itakuwa na support kutoka rafters,ukiweka joists kwanza ukija kuweka plaster ikikauka itasaidia ku-support mzigo mkubwa wa uzito wa ceiling.
Sasa mkuu hata kama zinazibwa na gypsum au ceiling board ndo uache ma-saruji yamegandamana hapo kwenye mbao? Haki ya nani nikikuta hivyo nakukata hela aisee!!Namaanisha si mwisho wa siku zitazibwa na gypsum!
Mkuu,
Kama fundi huyo alivyokujibu,kawaida ni kwamba lazima ceiling joists zianze ndipo plaster ipigwe.
Hii ni kwa sababu pamoja na kwamba ceiling itakuwa na support kutoka rafters,ukiweka joists kwanza ukija kuweka plaster ikikauka itasaidia ku-support mzigo mkubwa wa uzito wa ceiling.
hakikisha unakuwepo eneo la tukio kutwa nzima siku za plaster kwani inakula sana cement , unaweza ukaenda tu jioni siku ya kwanza ya kupiga plaster fundi akakuambia kwa leo tu tumetumia mifuko 18 ukarusha ngumi.
Thax.
Hapo unaposema box ndo sielewi pia.
Kabla ya yote,condrit pipe,then hch unachoita cinling watwat,kimtaa inaitwa blandaring,ndio inafuata thn plaster,kuna mtu ameshakushaur vzr hp juu,bt pipe is tha first!
KakaJambazi,
Nimejaribu kuchora hicho nilichokieleza. Hebu angalia kama kinaeleweka!
View attachment 168062
MKuu Dark City asante sana, umetisher.
Ivi ndivo inavyotakiwa ma great thinker ku-take trouble kummelimisha mtu. Asante sana.
Pia itasaidia kuzuia vumbi linalotoka juu kupenya kuja chini
Sista kama sasa ivi upo ndani ya chumba chenye gypsum, ile iliyoshikilia gypsum ukutani ndo mkanda, fiber ni nyusi flani iv zinazotumika kuungia joints za gypsum.nisaidieni vifaa vya blending na kuweka gipsam HP1 Dengue KakaJambazi Dark City
kuna vifaa vinaitwa kona, mkanda na fiba sivielewi kabisa msaaada
KakaJambazi,
Nimejaribu kuchora hicho nilichokieleza. Hebu angalia kama kinaeleweka!
View attachment 168062
Pia itasaidia kuzuia vumbi linalotoka juu kupenya kuja chini
vumbi litapitaje wakati mkanda umebana kisawasawa?