Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
20m kwa 20 mita. Hapo shughuli mana mita moja ni sawa na hatua moja iliyoshibaNaomba kujua kama kiwanja iko kinaweza jenga nyumba ya kisasa na ukapata na parking ya gari mbili(02)? Ukubwa wa vyumba utakuwaje
Kuna mzee alitangaza hapa JF ana vifaa na mbinu ya ujenzi ya "raised floor constructio". Unapata nyumba ya kisasa na eneo la chini lote linabaki wazi kwa kufanyia chochote, iwe parking au hata soko. Nakumbuka zipo nyuzi zake humu pamoja na oicha jukwaa la ujenzi.Naomba kujua kama kiwanja iko kinaweza jenga nyumba ya kisasa na ukapata na parking ya gari mbili(02)? Ukubwa wa vyumba utakuwaje
Tag huo uziKuna mzee alitangaza hapa JF ana vifaa na mbinu ya ujenzi ya "raised floor constructio". Unapata nyumba ya kisasa na eneo la chini lote linabaki wazi kwa kufanyia chochote, iwe parking au hata soko. Nakumbuka zipo nyuzi zake humu pamoja na oicha jukwaa la ujenzi.
. Ntakutafutia nyuzi zake, nikiziona nakuwekea link hapa.
Yawezekana kabisa,size ya nyumba ikawa meter 17x16 . Sehemu inayobaki septic tanks juu 2 car parkingNaomba kujua kama kiwanja iko kinaweza jenga nyumba ya kisasa na ukapata na parking ya gari mbili(02)? Ukubwa wa vyumba utakuwaje
Huu hapa 👇🏾Tag huo uzi
Nyumba kubwa ya vyumba 4 vya kulala, sitting room, dining room, choo bafu jiko nk zinaweza kuhitaji kama 220 square meters, chamber za maji taka, choo/bafu ya nje nafasi itabaki ndogo sana kwa gari 2Naomba kujua kama kiwanja iko kinaweza jenga nyumba ya kisasa na ukapata na parking ya gari mbili(02)? Ukubwa wa vyumba utakuwaje
Utakuwa umetusaidia wengi sanaKuna mzee alitangaza hapa JF ana vifaa na mbinu ya ujenzi ya "raised floor constructio". Unapata nyumba ya kisasa na eneo la chini lote linabaki wazi kwa kufanyia chochote, iwe parking au hata soko. Nakumbuka zipo nyuzi zake humu pamoja na oicha jukwaa la ujenzi.
. Ntakutafutia nyuzi zake, nikiziona nakuwekea link hapa.
Huyo mzee nimemsoma hapa JF na namfahamu sana.Utakuwa umetusaidia wengi sana
acha kuwa muongoHuyo mzee nimemsoma hapa JF na namfahamu sana.
Katuja Tanzania hii ni yeye pekee mwenye vifaa vya ujenzi vinsvyokuwezesha K jenga hats bondeni kwa afuu.
Mpaka Waingereza wamemuona wamempa tuzo, inashangaza Watanzania hatumfaham na tuko nae hapa, tena ni mstaafu.
. Hii nchi hatuendelei kwa ujinga, siyo kukosa akili.
Mimi nimejenga kwenye 400sqm. Nyumba ni kubwa ya familia. Ina sebule, sehemu ya chakula, vyumba 3 (vyote self-contained), jiko na stoo, pamoja na study room. Chumba cha baba na mama kina ukubwa wa futi 12*12. Viingine vina 12*10.Naomba kujua kama kiwanja iko kinaweza jenga nyumba ya kisasa na ukapata na parking ya gari mbili(02)? Ukubwa wa vyumba utakuwaje