OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Labda tubadili swali kidogo, isiwe copy and paste. Iwe zile zilizojengwa kupitia michoro yenu mizuriDuh, mkuu huna evidence na unashutumu, kwenye huu uzi tumebase na kutangaza michoro ya nyumba tuliyotengeneza, hivyo mtu akivutiwa na uwezo wetu anatutafuta tunamtengenezea design kulingana na matakwa yake. Hatujabase na kuomba kazi za ufundi,
Nakupa task, pitia uzi wote na ukiona kazi yoyote iliyokopiwa sema.
Na pia jitahidi kuheshimu kazi za watu, ukiona jambo huliwezi wewe na jamii yako inayokuzunguka usifikiri haliwezekani kwa kila mtu.
Karibu tukuhudumie upate design nzuri ili ukionesha rafiki zako waseme ni ya kuokota mtandaoni.
Office yako inapatikana wapi..Ksribuni sana.
Mkuu angalia post no. 1, 155, 157, 167, 171, 219, na pia pitia pages za huu uzi kuna kazi zilizokamilika na zinazoendelea utaziona. Thanks.Labda tubadili swali kidogo, isiwe copy and paste. Iwe zile zilizojengwa kupitia michoro yenu mizuri
Ofisi zipo kinondoni B mkuu, lakini tunafanya kazi za designs kwa wateja wetu wa mikoa yote.Office yako inapatikana wapi..
Ongoing construction.Labda tubadili swali kidogo, isiwe copy and paste. Iwe zile zilizojengwa kupitia michoro yenu mizuri
Hiyo inaweza kugharimu kiasi gani kwa mode uliyotuma hapo ?Nyumba kali kwa budget ndogo kabisa, usiogope uzuri wa nyumba kwa kuhofia gharama kuwa kubwa. Waweza jenga nyumba yako ikawa na muonekano mzuri kwa budget ndogo tu, kikubwa tutafute tuifanye ndoto yako iwe kweli.
Design ya nyumba inaanzia 150,000/= na kuendelea kulingana na ukubwa wa nyumba.
Call/whatsapp 0715477041.View attachment 2955533
Ujenzi au michoro??Hiyo inaweza kugharimu kiasi gani kwa mode uliyotuma hapo ?
Ujenzi tuUjenzi au michoro??
Ujenzi bila finishing 100m.Ujenzi tu
Sawa mkuuUjenzi bila finishing 100m.
Finishing itategemea na uchaguzi wako but commonly 50-150m