Service UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile House designs

$1,000.00 to $10,000.00
Karibu Nile house designs 🏠 🏠

Tunatoa huduma za kitaalamu za usanifu wa nyumba za kisasa, majiko ya kuvutia, na maeneo ya biashara yanayovutia wateja. Tunahakikisha kila mradi unakidhi viwango vya ubora, unafaa bajeti yako, na unazingatia mahitaji yako ya kipekee. Kazi zetu zina ubunifu wa hali ya juu na hutolewa kwa wakati unaofaa.

Wasiliana nasi leo kwa huduma bora na za uhakika!
Simu: [0715477041]
 
Design ya apartment katika eneo
16m x 14m..
3 units za chumba sebule.

Je unahitaji michoro ya nyumba za kupangisha (apartment) ??

Hapa ndipo mahala pake, pata design Bora zaidi kulingana na eneo lako, hata kama eneo ni dogo, tutafanya tathimini na kudesign kwa ubora zaidi.

Wasiliana nasi leo kwa huduma bora na za uhakika!
Simu: [0715477041]
 
Huwa mnachukua muda gani kumdizainia mtu ramani nyumba ya kawaida ya makazi

Yaani mpaka niipate ramani ya nyumba itachukua muda gani
Na je ni muhimu kwenda site..!?
 
Huwa mnachukua muda gani kumdizainia mtu ramani nyumba ya kawaida ya makazi

Yaani mpaka niipate ramani ya nyumba itachukua muda gani
Na je ni muhimu kwenda site..!?
Ni muhimu kwenda site mkuu, maana design itategemea na ukubwa na nature ya eneo lilivyo.

Huwa inatumia siku 7 kwa nyumba za chini.
 
Ungeweka na estimations za gharama ingesaidia sana.
 
Kazi zuri san dogo! Nimekuwekea ya kwangu huko PM utanifanyia bei gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…