Nile_house_designs JF-Expert Member Joined Nov 13, 2020 Posts 483 Reaction score 544 May 27, 2026 Thread starter #481 Karibuni sana
Nile_house_designs JF-Expert Member Joined Nov 13, 2020 Posts 483 Reaction score 544 May 27, 2026 Thread starter #482 You are welcome.
Nile_house_designs JF-Expert Member Joined Nov 13, 2020 Posts 483 Reaction score 544 May 31, 2026 Thread starter #483 On site progress, karibu nile house designs ujipatie designs nzuri zinazokizi mahitaji yako. call/whatsapp 0715477041.
On site progress, karibu nile house designs ujipatie designs nzuri zinazokizi mahitaji yako. call/whatsapp 0715477041.
Nile_house_designs JF-Expert Member Joined Nov 13, 2020 Posts 483 Reaction score 544 Jun 4, 2026 Thread starter #484 Karibuni sana
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,009 Reaction score 22,509 Jun 4, 2026 #485 Nile_house_designs said: Karibuni sana Click to expand... tupo
Nile_house_designs JF-Expert Member Joined Nov 13, 2020 Posts 483 Reaction score 544 Jun 14, 2026 Thread starter #486 ..
Nile_house_designs JF-Expert Member Joined Nov 13, 2020 Posts 483 Reaction score 544 Jun 26, 2026 Thread starter #487 Wana jamiiforum, karibuni tuwahudumie, msikubali kujengewa nyumba zisizo na viwango kwa gharama kubwa. karibuni kwa design, ujenzi na usimamizi wa ujenzi wa viwango.
Wana jamiiforum, karibuni tuwahudumie, msikubali kujengewa nyumba zisizo na viwango kwa gharama kubwa. karibuni kwa design, ujenzi na usimamizi wa ujenzi wa viwango.
Nile_house_designs JF-Expert Member Joined Nov 13, 2020 Posts 483 Reaction score 544 Jun 26, 2026 Thread starter #488
Nile_house_designs JF-Expert Member Joined Nov 13, 2020 Posts 483 Reaction score 544 Jun 30, 2026 Thread starter #489 Karibuni sana wadau.
Nile_house_designs JF-Expert Member Joined Nov 13, 2020 Posts 483 Reaction score 544 Jul 11, 2026 Thread starter #490 Hapa kuna dondoo muhimu za kuzingatia katika ujenzi wa nyumba: 1. Maandalizi na Ununuzi wa Kiwanja Miliki hatimiliki: Hakikisha kiwanja kina nyaraka halali za kisheria kuzuia migogoro ya ardhi. Chunguza eneo: Epuka maeneo ya mabondeni yanayoruhusu mafuriko au ardhi oevu inayoongeza gharama za msingi. Upimaji wa udongo: Jua aina ya udongo ili mhandisi asanifu msingi unaostahimili uzito wa nyumba. 2. Upangaji wa Bajeti na Ramani Pata ramani mtaalamu: Tumia wasanifu majengo (architects) waliosajiliwa kupata ramani inayokidhi mahitaji yako. Andaa BoQ (Bill of Quantities): Hii ni orodha ya makadirio ya vifaa na gharama itakayokuongoza. Tenga dharura: Ongeza asilimia 10 hadi 15 ya bajeti kwa ajili ya mabadiliko ya bei za vifaa sokoni.
Hapa kuna dondoo muhimu za kuzingatia katika ujenzi wa nyumba: 1. Maandalizi na Ununuzi wa Kiwanja Miliki hatimiliki: Hakikisha kiwanja kina nyaraka halali za kisheria kuzuia migogoro ya ardhi. Chunguza eneo: Epuka maeneo ya mabondeni yanayoruhusu mafuriko au ardhi oevu inayoongeza gharama za msingi. Upimaji wa udongo: Jua aina ya udongo ili mhandisi asanifu msingi unaostahimili uzito wa nyumba. 2. Upangaji wa Bajeti na Ramani Pata ramani mtaalamu: Tumia wasanifu majengo (architects) waliosajiliwa kupata ramani inayokidhi mahitaji yako. Andaa BoQ (Bill of Quantities): Hii ni orodha ya makadirio ya vifaa na gharama itakayokuongoza. Tenga dharura: Ongeza asilimia 10 hadi 15 ya bajeti kwa ajili ya mabadiliko ya bei za vifaa sokoni.
Nile_house_designs JF-Expert Member Joined Nov 13, 2020 Posts 483 Reaction score 544 Jul 11, 2026 Thread starter #491 3. Vifaa na Ununuzi Nunua kwa awamu: Nunua vifaa vinavyohitajika kwa hatua husika kuzuia wizi au uharibifu (mfano: saruji kushika unyevu). Tafuta ubora: Usinunue vifaa vya bei rahisi sana vyenye kiwango duni; vitakugharimu kufanya matengenezo baadaye. Dhibiti stoo: Weka msimamizi mwaminifu wa vifaa eneo la ujenzi ili kuzuia upotevu na matumizi mabaya. 4. Usimamizi wa Mafundi Sifa na uzoefu: Kagua kazi za nyuma za fundi kabla ya kumpa mkataba wa ujenzi. Mikataba ya maandishi: Weka makubaliano ya malipo kwa hatua za kazi (milestones) badala ya kumlipa fundi hela yote mwanzo. Ushauri wa wataalamu: Shiri weledi wa wahandisi (engineers) kukagua hatua muhimu kama vile kumimina zege la msingi na renta.
3. Vifaa na Ununuzi Nunua kwa awamu: Nunua vifaa vinavyohitajika kwa hatua husika kuzuia wizi au uharibifu (mfano: saruji kushika unyevu). Tafuta ubora: Usinunue vifaa vya bei rahisi sana vyenye kiwango duni; vitakugharimu kufanya matengenezo baadaye. Dhibiti stoo: Weka msimamizi mwaminifu wa vifaa eneo la ujenzi ili kuzuia upotevu na matumizi mabaya. 4. Usimamizi wa Mafundi Sifa na uzoefu: Kagua kazi za nyuma za fundi kabla ya kumpa mkataba wa ujenzi. Mikataba ya maandishi: Weka makubaliano ya malipo kwa hatua za kazi (milestones) badala ya kumlipa fundi hela yote mwanzo. Ushauri wa wataalamu: Shiri weledi wa wahandisi (engineers) kukagua hatua muhimu kama vile kumimina zege la msingi na renta.
Nile_house_designs JF-Expert Member Joined Nov 13, 2020 Posts 483 Reaction score 544 Jul 12, 2026 Thread starter #492 Karibuni sana
Nile_house_designs JF-Expert Member Joined Nov 13, 2020 Posts 483 Reaction score 544 Jul 14, 2026 Thread starter #493 Karibuni sana
Nile_house_designs JF-Expert Member Joined Nov 13, 2020 Posts 483 Reaction score 544 Aug 4, 2026 Thread starter #494 Karibuni sana.
Nile_house_designs JF-Expert Member Joined Nov 13, 2020 Posts 483 Reaction score 544 Aug 11, 2026 Thread starter #495 Design of foundation. Karibuni sana wadau. Attachments 1786436669162.png 3.3 MB · Views: 9
Nile_house_designs JF-Expert Member Joined Nov 13, 2020 Posts 483 Reaction score 544 Sep 16, 2026 Thread starter #496 Karibuni sana wadau