Service UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile House designs

$1,000.00 to $10,000.00
HII HITU MATATA SANA NIMEIPENDA HAIITAJI ENEO KUBWA
 


Simple 3 bedroom house!!🏠🏠🏠

Ina vyumba vitatu, kimoja ni master bedroom

Sebule, jiko na sehemu ya kulia chakula

Size 90 sqm

Karibu tukuhudumie!!

Call/WhatsApp 0715477041
 



Simple 3 bedroom house!!🏠🏠🏠

Ina vyumba vitatu, kimoja ni master bedroom

Sebule, jiko na sehemu ya kulia chakula

Size 90 sqm

Karibu tukuhudumie!!

Call/WhatsApp 0715477041
 
Ramani za aina hii mimi sishauri kabisa, ni lazima pia tufikirie usalama wetu, nyumba ina vyumba vinne alafu vyote lazima urudi eneo moja kabla ya kutoka nje. Tujaribu kubuni ramani ambazo endapo janga kama moto ukitokea sebuleni au kwenye corridor vyumba vingine wapate pa kutokea. Tofauti na hapo madirisha yetu yawe na visehemu vya kutokea kwa dharura.
 
Hapo waweza tokea sebuleni au jikoni, ila kama kupita kwenye corridor ni hatari kwako, sa sijui wataka nyumba ya aina gani mkuu,
All in all, kuna baadhi ya design inaweza kuwa na mpangilio mzuri zaidi ila ikaongeza cost na ukubwa wa nyumba maradufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…