Service UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile House designs

$1,000.00 to $10,000.00
Sijakuelewa mkuu, mbona kuna public hapo, afu pia kuna chumba kimoja ni self contained apart from master
Sijaiona public shower .... Just wondering mayn.
Ramani nzuri hata hivyo. Ila sijaiona shower ya public.
 
Hebu angalia vizuri ramani yako ikitokea moto umeripuka hapo kwenye hall, ni chumba kipi kiko salama, vyumba viwili karibu na jiko lazima wapitie hapo, na vyumba viwili tena kushoto lazima waje kwenye hall, ndo maana nikasema ikiwa kuna ulazima wa kuwa na ramani kama hii basi tuangalie uwezekano wa kuwa na emergence exits. Au tuwe na smoke detectors, sikuwa na nia ya kufanya bulling, ila nimetoa angalizo na ushauri nikiwa kama mbobezi kwenye masuala mazima ya safety.
 
Shukrani mkuu, nitauchukulia kwa uzito ushauri wako katika design nyingine
 
Design nzuri sana hii Mkuu...,Render inaonyesha good exterior pia.
Nimependa idea ya hall instead of corridor. very nice.

Ila zingatia hizo critics hizo boss. zingatia sanaaa.
Master umeidowngrade kwa durisha monja tu
Mkuu Mikolo nakuunga mkono...,vyumba vya kulala vinatakiwa kuwa na cross ventilation kwa ajili ya mzunguko wa hewa mzuri.
Sijaiona public shower .... Just wondering mayn.
Ramani nzuri hata hivyo. Ila sijaiona shower ya public.
Boss Kobello...,Architect kasahau inaonekana. bahati mbaya kweli kweli. tusubiri masahihisho.
Watu lazima waoge aisee.
 

Nafikiri hivyo ni vile vyoo vya 2in1 (choo na bafu) mumo humo [emoji848]
 
Hizi sasa sifa
 
Two bedroom house kila chumba master na public toilet kitchen dinning na sitting inaweza gharimu bei gani

Habari mkuu, kwa ujenzi itagharimu 35m, japokua bei inaweza kuwa chini ya hapo au juu kiasi kulingana na aina ya finishing utakayoamua kufanya, ramani ni 250,000 boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…