Ujenzi na Siasa UNIVERSITY OF DODOMA

Picha Zote na majengo yote bwana mzee au sio maana sisi tunataka sana kuona
 
Unazo za kupiga wewe mwenyewe au vipi maana naona hizi asilimia kuwa umetoa kwenye Net,by way tunashukuru sana
 
No mkuu bahati mbaya sina za kupiga mwenyewe. Labda mwana JF mwingine atusaidie hapo.
 
Ndio maana tunaweza na kuangalia mwenendo wake na kutazama kama kweli malengo yake yanaweza kufikiwa na kuona Lecturers hall na vifaa vingine vingine katika chuo Kikuu
 
Na tena kuna madai kuwa baadhi ya mwalimu wengi sana wa UDSM wamekwenda kufundisha UDOM na hao asilimia kuwa haya Madai ni kweli ay vipi??
 
Sasa mzee wangu inatupasa kujua na kuamua jinsi gani ya kufanya labda hawa maclients ndio wanatoa pesa kwa kutofautiana sana
 

Sema watajivunia kuiba sera ya CHADEMA ya mwaka 2004.

"Tutageuza majengo yote ya Serikali Dodoma kuwa vyuo vikuu na vyuo vya ufundi kwa kuendelea na azma yetu ya kuachilia mbali mpango wa kuhamishia makao makuu kwenda Dodoma. Dodoma itakuwa ni jiji la vyuo na kitovu cha elimu cha nchi..."

http://www.chadema.or.tz/nyaraka/sera/elimu.php
 

Si wajibu wa mipango miji ku-incorporate hii project bali ilitakiwa project ndiyo ihakikishe inaendana na mipango miji.

Kama jengo kwa sura ni baya, wa kulaumiwa ni architect. Kama jengo halifai kimatumizi ( vyumba vina giza, hewa haitoshi, vyoo vinasambaza harufu jengo zima, milango na njia za tahadhari hazitoshi n.k.) wa kulaumiwa ni architect.

Kama jengo limejengwa vibaya ( lina nyufa kibao, linavuja, milango haifunguki , vioo vinaanguka n.k) inabidi wote wahusika wakalishwe na atafutwe mchawi!

Amandla....
 
Na ubora wa jengo sio siku ya makabidhiano bali utajulika miaka 2 baada ya kukabidhiwa na kutumiwa!

Amandla.......
 
mmezoea kupinga kila kitu cha maendeleo, hivi nyie mmnaitakia TZ mema kweli, kila kitu mnatafta kasoro na kuweka picha mbaya...tukosoe panapo bidi na tusifu bila kuona aibu, wala itikadi za kichama humu ndani...tufuate sera za marekani, pale kkitu kinapo kuwa ni faida kwa wote, tuki support jamani, na si kuwa wapinzani kwa kila kitu...
 
Wakati sisi tupo kwenye chereko chereko ya kufurahia mpango kabambe wa ujenzi wa UDOMM. Tazameni wenzetu walivyo serious na elimu ya juu.


ETHIOPIA: Huge new science institute planned11 May 2008
Issue: 0027


Ethiopia's Ministry of Education is to construct an institute of science that will enrol close to 40,000 students a year, reports Addis Fortune. The new institute will be located in Dukem, 37 kilometres east of the capital Addis Abeba. The decision follows a budget planning exercise by various ministries, and was prompted by a desire to boost natural science enrolments, sources disclosed.

Following a debate on whether to carry out expansion in the existing eight universities, or to construct a brand new institute, the federal government chose the latter because, it was reported, universities had demanded a high price for expansion. The Ethiopian government has also reported decided that higher education institutions should enrol 70% natural science and 30% social science students.

There are 13 additional universities currently under construction. When these are completed, the annual enrolment capacity of the nation's universities is expected to grow from 30,000 to 112,000 students.

http://allafrica.com/stories/200805051804.html

Cha kusikitisha hii nchi(Ethiopia) si kama ni tajiri, ni nchi masikini kama sisi na kuna baadhi ya parameters Tanzania tunafeature favourably(tazama hapo chini). Cha kujiuliza, watanzania tumekwama wapi mpaka hata mipango yetu inakua hafifu, na yet tunaishangilia utadhani ni mapinduzi ya kweli kijamii. Hawa wa Ethiopia in 20yrs matunda ya hizi universities tutayaona tutakapo compare tena hizi economic indicators kama sasa. JK anataka wawekezaji wakati skilled workforce yenyewe ya kuokoteza, nani atakuja???

Ethiopia
GDP (official exchange rate):
$25.66 billion (2008 est.)

GDP - per capita (PPP):
$800 (2008 est.)

Labor force - by occupation:
agriculture: 80.2%
industry: 6.6%
services: 13.2% (2005)

Reserves of foreign exchange and gold:
$870.5 million (31 December 2008 est.)

Tanzania:
GDP (official exchange rate):
$20.72 billion (2008 est.)

GDP - per capita (PPP):
$1,300 (2008 est.)

Labor force - by occupation:
agriculture: 80%
industry and services: 20% (2002 est.)

Reserves of foreign exchange and gold:
$2.915 billion (31 December 2008 est.)

(Source:CIA World Fact Book)
 
hata tanzania kitajengwa university of nelson mandela pale arusha, kitakua cha science
 
Tatizo expectations zetu kama taifa zipo very low, no wonder hata vinchi kama Rwanda sasa hivi zitatuvuta shati. Kiongozi anakaa miaka kumi, then anaringia kujenga daraja moja kubwa, au chuo kikuu kimoja kikubwa..then anarelax, job well done, nasisi hapo ni nderemo na vifijo vya kumpongeza kwa kazi kubwa... kazi kwelikweli!
 

Hebu fafanua mwaka gani Mlimani ilikuwa kati ya vyuo vikuu 100 duniani na kwa ranking gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…