Hakijawahi kuwa hata kwenye 500 bora.wanazua tu kuwa ni chuo bora duniani sio kweli.Hebu fafanua mwaka gani Mlimani ilikuwa kati ya vyuo vikuu 100 duniani na kwa ranking gani?
BWM alikuwa na ndoto njema katika hilii..nampongeza sana kwa kusimamiaa uanzishwaji wa UDOM...haiondoi ukweli kuwa ni mradi ambao CCM inaweza kujivunia sana
in the meantime wanafunzi wanasoma pale vizuri tuu
haiondoi ukweli kuwa ni mradi ambao CCM inaweza kujivunia sana
in the meantime wanafunzi wanasoma pale vizuri tuu
Kuwa Critical katika elimu ni wewe mwenyewe, ndio maana mimi nasema kuwa kuna haja ya Wizara ya Elimu kuweka mipango ya kufanya Watanzania wazalendo kurudi na kufundisha katika vyuo vyetuGame Theory
Naona unakuwa excessively jubilant bila sababu.
UDOM bado haijafikia kiwango cha University unayowazia ktk message yako. Usisifie majengo na ghafla kugeukia uzuri wa CCM na utekelezaji wa ilani.
Where on earth ambako waliwahi kujenga chuo cha wanafunzi 40,000 kwa miaka 5? This was simply a stupid ambition and poor planning. Wewe ukipewa nafasi kweli unaweza ukaanza na majengo makubwa bila maandalizi ya walimu? Hata hilo kweli ni gumu kulipanga?
Tusilazimishe sifa kwa CCM na ilani. UDOM tunaifahamu, batch ya kwanza, na ya pili na hata hiyo ya tatu they are nothing. Wengine tumekaa nao maofisini wakifanya field work. They are nothing! nothing!
Hawana waalimu. Wachache waliopo wanazidiwa na idadi kiasi kwamba mwalimu anasahihisha karatasi za wanafunzi 5,000! Sasa hivi wanahitaji waalimu wapya 600! Watawatoa wapi? India? Sawa lakini kila aliyetoka India imekuwa ni kichekesho kwa wanafunzi, nje na hata ndani ya darasa. Na hapo ndo nasema it was the poorest planning tangu mwanzo.
Tusichanganye siasa na utekelezaji wa kitaalamu na kitaaluma. CCM ilistahili kuishia kwenye niya na kuwaachia wataalamu wapange nini kianze na iwe lini.
Je ilani pia ilisema wanafunzi dhaifu wasifukuzwe? Una habari kwamba UDOM hakuna Discontinuation, at least in practice? Siasa hiyo, wafikie 40,000.
Kuwa Critical katika elimu ni wewe mwenyewe, ndio maana mimi nasema kuwa kuna haja ya Wizara ya Elimu kuweka mipango ya kufanya Watanzania wazalendo kurudi na kufundisha katika vyuo vyetu
Kwanini unasema hivyo?? Hata kama ukichukua miaka hata 20 hivi lakini kila kitu kinaanza taratibu na hatimaye tutafika huko tunapokwendaLet us not sound like Kingunge at his decelerating growth.
Kweli unaweza Dunia hii ukawapata hao watanzania wazalendo? Wako wapi? Tangu tumeanza kuwaita walishapatikana? Which message are you getting from that?
Tangu Rais mpaka hao watendaji wake wa chini kuna anayeweza kuita wazalendo? Nadhani Una maanisha wajinga warudi nyumbani. Can anybody be back just for the sake of Mzalendo?
Back to our topic: UDOM is not yet successful, and so, not yet a dream University. Kama ni majengo yatakwisha lakini kwa hali iliyopo tunawaponza wa-TZ wenzetu wanaokimbilia hapo kusoma.
BWM alikuwa na ndoto njema katika hilii..nampongeza sana kwa kusimamiaa uanzishwaji wa UDOM...
Inakupasa nyinyi wote waende kwenye active politics na sio sasa hivi mnabaki kuandika tu hapa JFUmeshakuwa mtumwa wa BWM kifikra.Huo ni mradi wa CCM na ilani yake kama ni BWM alikuwa akifanya kile alichoelekezwa na Chama.
Hata Jk naye anafuata ilani tu so whats the big deal with fisadi No.1.?
Kuwa Critical katika elimu ni wewe mwenyewe, ndio maana mimi nasema kuwa kuna haja ya Wizara ya Elimu kuweka mipango ya kufanya Watanzania wazalendo kurudi na kufundisha katika vyuo vyetu
nampongeza mtoa wazo (BWM) kwa kuwa visionary na kuhakikisha chuo kinaanzaaa....
Wewe huoni kuwa kwa kuharibika kwa Ben sifa kwa Jk?? maana sasa nyingine unaweza kusema kuwa mambo haya yanaanzia wapi??Mkapa asigijiingiza katika usisadi tungemtukuza kweli ,aliyofanya yanasifika ,mradi wa maji kahama/shy UDOM, roads lakini du!!!!
haiondoi ukweli kuwa ni mradi ambao CCM inaweza kujivunia sana
in the meantime wanafunzi wanasoma pale vizuri tuu
Usilaumu sana, consultants wanakimbizwa na wanasiasa bila kuangalia hali halisi nao wanataka hela hawawezi acha.